Tanzanian National Anthem (in Kiswahili)
Mungu ibariki Afrika Wabariki Viongozi wake Hekima Umoja na Amani Hizi ni ngao zetu Afrika na watu wake. Ibariki — Afrika Ibariki — Afrika Tubariki watoto wa Afrika. Mungu ibariki Tanzania Dumisha uhuru na Umoja Wake kwa Waume na Watoto Mungu Ibariki Tanzania na watu wake. Ibariki — Tanzania Ibariki — Tanzania Tubariki watoto wa…